Ufafanuzi wa kikoromeo katika Kiswahili

kikoromeo

nomino

  • 1

    sehemu ya umio iliyotokeza nje ya koo na huchezacheza mtu anapomeza kitu.

    zoloto, kongomeo

Matamshi

kikoromeo

/kikOrOm╔ŤO/