Ufafanuzi msingi wa kikosi katika Kiswahili

: kikosi1kikosi2

kikosi1

nominoPlural vikosi

 • 1

  sehemu ya nyuma ya shingo.

Matamshi

kikosi

/kikOsi/

Ufafanuzi msingi wa kikosi katika Kiswahili

: kikosi1kikosi2

kikosi2

nominoPlural vikosi

 • 1

  mkusanyiko wa askari zaidi ya elfu moja, agh. huwa chini ya meja.

  afwaji, kombania

 • 2

  chaa

Matamshi

kikosi

/kikOsi/