Ufafanuzi wa kikoto katika Kiswahili

kikoto

nomino

  • 1

    mjeledi, agh. uliosukwa kwa miyaa au ng’ongo.

Matamshi

kikoto

/kikOtO/