Ufafanuzi msingi wa kikuku katika Kiswahili

: kikuku1kikuku2kikuku3kikuku4

kikuku1

nomino

 • 1

  kijibangili ambacho huvaliwa mguuni au pengine mkononi.

  kekee, timbi

 • 2

  pingu

Matamshi

kikuku

/kikuku/

Ufafanuzi msingi wa kikuku katika Kiswahili

: kikuku1kikuku2kikuku3kikuku4

kikuku2

nomino

 • 1

  kitu kining’iniacho katika tandiko la farasi kinachotumiwa kwa kuwekea mguu wakati wa kupanda.

Matamshi

kikuku

/kikuku/

Ufafanuzi msingi wa kikuku katika Kiswahili

: kikuku1kikuku2kikuku3kikuku4

kikuku3

nomino

 • 1

  kishikio kinachojengewa kwenye funiko la saruji.

Matamshi

kikuku

/kikuku/

Ufafanuzi msingi wa kikuku katika Kiswahili

: kikuku1kikuku2kikuku3kikuku4

kikuku4

nomino

Matamshi

kikuku

/kikuku/