Ufafanuzi wa kikukusi katika Kiswahili

kikukusi

nomino

  • 1

    upepo mkali unaopeperusha takataka, majani na hata kuangusha vitu, miti, n.k..

Matamshi

kikukusi

/kikukusi/