Ufafanuzi wa kikwamizi katika Kiswahili

kikwamizi

nominoPlural vikwamizi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    konsonanti ambayo hutamkwa kwa kuiachia hewa ipite katikati ya alasauti sogezi na alasauti tuli zinazogusanishwa kiasi cha kuifanya hewa itoke kwa kukwamiza, ingawa kwa mfululizo.

  • 2

    Sarufi
    sauti inayotamkwa kwa kuwepo na kizuizi cha mkondohewa katika mvungu wa kinywa.

Matamshi

kikwamizi

/kikwamizi/