Ufafanuzi wa kikwapa katika Kiswahili

kikwapa

nomino

  • 1

    harufu mbaya ya jasho imtokayo mtu kwapani.

    gugumo, adhifari

Matamshi

kikwapa

/kikwapa/