Ufafanuzi wa kikwaruzo katika Kiswahili

kikwaruzo

nomino

  • 1

    kitu kinachotumiwa kuweka mkwaruzo au alama kwenye kitu kingine.

Matamshi

kikwaruzo

/kikwaruzÉ”/