Ufafanuzi wa kikwata katika Kiswahili

kikwata

nominoPlural vikwata

  • 1

    mmea kama mchongoma mdogo wenye matawi mengi na huwa na maua meupe.

Matamshi

kikwata

/kikwata/