Ufafanuzi msingi wa kikwi katika Kiswahili

: kikwi1kikwi2

kikwi1

nominoPlural kikwi

kishairi
  • 1

    kishairi elfu moja.

Matamshi

kikwi

/kikwi/

Ufafanuzi msingi wa kikwi katika Kiswahili

: kikwi1kikwi2

kikwi2

kivumishi

  • 1

    -enye idadi kubwa.

    ‘Kumekuja watu kikwi’
    -ingi

Matamshi

kikwi

/kikwi/