Ufafanuzi wa kilalio katika Kiswahili

kilalio

nominoPlural vilalio

  • 1

    chakula kinacholiwa usiku.

    chajio

  • 2

    kitu cha kulalia k.v. jamvi, godoro au kirago.

Matamshi

kilalio

/kilalijɔ/