Ufafanuzi wa kilele katika Kiswahili

kilele

nominoPlural vilele

  • 1

    sehemu ya juu kabisa ya mlima au ya mti.

  • 2

    upeo wa shughuli fulani maalumu.

    ‘Kilele cha sherehe za uhuru’

Asili

Kaj

Matamshi

kilele

/kilɛlɛ/