Ufafanuzi wa kilelecha katika Kiswahili

kilelecha

nominoPlural vylelecha

  • 1

    sehemu iliyo juu kabisa ya kilele.

Asili

Kaj

Matamshi

kilelecha

/kilɛlɛt∫a/