Ufafanuzi wa kilemeanembo katika Kiswahili

kilemeanembo

nominoPlural vilemeanembo

  • 1

    mmea ambao maua yake huota kama vishada katika matawi, mara nyingi huota kwa kufanya vichaka.

Matamshi

kilemeanembo

/kilɛmɛjanɛmbO/