Ufafanuzi wa kilili katika Kiswahili

kilili

nominoPlural vilili

  • 1

    kitu kama kitanda kidogo cha kumchukulia mtu juujuu.

  • 2

    ulingo mdogo wa kukalia au kusimamia watu.

Matamshi

kilili

/kilili/