Ufafanuzi wa kilimbo katika Kiswahili

kilimbo

nomino

  • 1

    kitu anachokula mtu ili apate hamu ya chakula.

Matamshi

kilimbo

/kilimbÉ”/