Ufafanuzi msingi wa kilimo katika Kiswahili

: kilimo1kilimo2

kilimo1

nomino

 • 1

  shughuli ya kulima.

  ‘Kilimo cha jembe la mkono’
  ‘Kilimo cha plau’
  ‘Kilimo cha pamba’

Matamshi

kilimo

/kilimÉ”/

Ufafanuzi msingi wa kilimo katika Kiswahili

: kilimo1kilimo2

kilimo2

nomino

 • 1

  majira ya ukulima.

  ‘Kilimo cha mwaka’
  ‘Kilimo cha vuli’
  ‘Kilimo cha mchoo’

Matamshi

kilimo

/kilimÉ”/