Ufafanuzi wa kilindachozi katika Kiswahili

kilindachozi

nominoPlural vylindachozi

  • 1

    tumba la maua lililoko nchani mwa ncha ya mkungu wa ndizi.

Matamshi

kilindachozi

/kilindat∫Ozi/