Definition of kilindi in Swahili

kilindi

noun

  • 1

    mahali baharini au bandarini penye kina kirefu cha maji ambapo vyombo huweza kutia nanga.

    kilifi, shumbi

Pronunciation

kilindi

/kilindi/