Ufafanuzi wa kilindo katika Kiswahili

kilindo

nominoPlural vilindo

  • 1

    chombo kinachotengenezwa kwa magome na hutumika kuwekea vitu k.v. tumbaku.

  • 2

    chombo kinachotengenezwa kwa ngozi na hutumika kuwekea asali.

Matamshi

kilindo

/kilindɔ/