Ufafanuzi wa kilinzi katika Kiswahili

kilinzi

nomino

  • 1

    ushanga uliotungwa ili kuvaliwa katika kiwiko cha mkono.

Matamshi

kilinzi

/kilinzi/