Ufafanuzi msingi wa kilio katika Kiswahili

: kilio1kilio2kilio3

kilio1

nominoPlural vilio

 • 1

  sauti ya kulia.

 • 2

  tendo au hali ya kulia.

Matamshi

kilio

/kilijɔ/

Ufafanuzi msingi wa kilio katika Kiswahili

: kilio1kilio2kilio3

kilio2

nominoPlural vilio

Matamshi

kilio

/kilijɔ/

Ufafanuzi msingi wa kilio katika Kiswahili

: kilio1kilio2kilio3

kilio3

nominoPlural vilio

 • 1

  matatizo yanayowakabili watu k.v. ukosefu wa maji safi, barabara au ajira.

  ‘Kilio cha wananchi kimepuuzwa kwa muda mrefu’

Matamshi

kilio

/kilijɔ/