Ufafanuzi wa kilosaiko katika Kiswahili

kilosaiko

nominoPlural kilosaiko

  • 1

    kipimo cha mizunguko 1,000 kinachotumika katika utengenezaji wa njia za anga kupima nguvu za mawimbi ya umeme.

  • 2

    umeme sauti.

Matamshi

kilosaiko

/kilɔsaIkɔ/