Ufafanuzi wa kimada katika Kiswahili

kimada

nomino

  • 1

    mwanamke anayeishi na mwanamume ambaye hakumwoa.

    bibi, hawara