Ufafanuzi wa kimadende katika Kiswahili

kimadende

nominoPlural vimadende

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    konsonanti ambayo hutamkwa kwa kupigapiga ulimi kwenye ufizi kwa marudio ya harakaharaka.

  • 2

    Sarufi
    namna ya utamkaji wa konsonanti kwa ncha ya ulimi kupigapiga kwa haraka kwenye ufizi kutokana na msukumo wa hewa.

Matamshi

kimadende

/kimadɛndɛ/