Ufafanuzi wa kimasomaso katika Kiswahili

kimasomaso

nominoPlural vimasomaso

  • 1

    mtu mwenye jicho la uhasidi.

    ‘Kimasomaso mwanangu usimwone’

Matamshi

kimasomaso

/kimasɔmasɔ/