Ufafanuzi wa kimbilio katika Kiswahili

kimbilio

nomino

  • 1

    mahali ambapo mtu huenda kukaa ili kuepukana na hatari au kupata msaada.

Matamshi

kimbilio

/kimbilijÉ”/