Ufafanuzi wa kimbiza katika Kiswahili

kimbiza

kitenzi elekezi

  • 1

    fuata kwa mbio nyuma ya mtu au mnyama anayekimbia.

    winga, fukuza

  • 2

    fanya kitu kiende kasi.

    ‘Madereva waendao Arusha hukimbiza sana magari’

Matamshi

kimbiza

/kimbiza/