Ufafanuzi wa kimburu katika Kiswahili

kimburu

nomino

  • 1

    mnyama kama paka anayeishi porini na agh. hukamata vifaranga na kuku.

Matamshi

kimburu

/kimburu/