Definition of kimea in Swahili

kimea

noun

  • 1

    nafaka zilizomea kidogo na kisha kukaushwa, agh. husagwa na unga wake hutumiwa kutengenezea togwa au kileo.

Pronunciation

kimea

/kimɛja/