Ufafanuzi wa kimono katika Kiswahili

kimono

nominoPlural vimono

  • 1

    vazi refu kama kanzu la kike linalovaliwa na mkanda ambalo ni mtindo ulioletwa kutoka Japani.

Asili

Kjp

Matamshi

kimono

/kimOnO/