Ufafanuzi msingi wa kinara katika Kiswahili

: kinara1kinara2kinara3

kinara1

nominoPlural vinara

  • 1

    mshono wa urembo katika vazi k.v. shingo ya kanzu.

Matamshi

kinara

/kinara/

Ufafanuzi msingi wa kinara katika Kiswahili

: kinara1kinara2kinara3

kinara2

nominoPlural vinara

  • 1

    kibanda kidogo kilichoinuka na hutumiwa kwa shughuli za kusomea maulidi au kuhutubia mikutano ya hadhara.

  • 2

    kifaa cha kusimamishia mshumaa.

Asili

Kar

Matamshi

kinara

/kinara/

Ufafanuzi msingi wa kinara katika Kiswahili

: kinara1kinara2kinara3

kinara3

nominoPlural vinara

Asili

Kar

Matamshi

kinara

/kinara/