Ufafanuzi wa kinasasauti katika Kiswahili

kinasasauti

nomino

  • 1

    chombo kinachotumika kunasia sauti.

    maikrofoni

Matamshi

kinasasauti

/kinasasawuti/