Ufafanuzi wa kindi katika Kiswahili

kindi

nominoPlural vindi

  • 1

    mnyama mdogo kuliko komba mwenye rangi ya kijivu au kahawia iliyochanganyika na wekundu na mkia wenye manyoya mengi.

Matamshi

kindi

/kindi/