Ufafanuzi wa kinega katika Kiswahili

kinega

nomino

  • 1

    ndege mdogo mwenye rangi ya kijani kuanzia kichwani hadi mkiani, njano kooni na kahawia tumboni, mraba mweusi kifuani, jichoni na kwenye mbawa.

    kiogajivu

Matamshi

kinega

/kinɛga/