Ufafanuzi wa kinembe katika Kiswahili

kinembe

nominoPlural vinembe

  • 1

    kinyama kilichotokeza kwenye tupu ya mbele ya mwanamke.

    kisimi

Matamshi

kinembe

/kinɛmbɛ/