Ufafanuzi wa kinengwe katika Kiswahili

kinengwe

nomino

  • 1

    samaki mkubwa jamii ya papa mwenye kivimbe cha duara na sehemu moja ya pezi la mkiani ni refu sana.

  • 2

    papa wadogowadogo waliokaushwa.

Matamshi

kinengwe

/kinɛngwɛ/