Ufafanuzi wa kingaja katika Kiswahili

kingaja

nominoPlural vingaja

  • 1

    pambo la kike la madini linalovaliwa shingoni au mkononi.

Matamshi

kingaja

/kingaʄa/