Ufafanuzi wa kingio katika Kiswahili

kingio

nomino

  • 1

    kitu kinachotumiwa kuzuia taa isizimwe na upepo; tungi la taa.

Matamshi

kingio

/kingijÉ”/