Ufafanuzi wa kinofu katika Kiswahili

kinofu

nominoPlural vinofu

  • 1

    kipande cha nyama kisicho na mfupa.

Matamshi

kinofu

/kinOfu/