Ufafanuzi wa kinokera katika Kiswahili

kinokera

nominoPlural vinokera

  • 1

    mnyama jamii ya paa ambaye ni mkubwa kidogo kuliko sungura, mwenye pembe fupi zilizochongoka na zenye vifundo kwenye mashina yake.

Matamshi

kinokera

/kinOkɛra/