Ufafanuzi wa kinubi katika Kiswahili

kinubi

nominoPlural vinubi

  • 1

    zeze lipigwalo kwa vidole bila ya uta.

  • 2

    zeze lenye uzi zaidi ya mmoja na husimamishwa wakati wa kupigwa.

Matamshi

kinubi

/kinubi/