Ufafanuzi wa kinukajio katika Kiswahili

kinukajio

nominoPlural vinukajio

  • 1

    aina ya mmea wenye mizizi na mbegu zenye sumu ambao pia huitwa ‘ua la saa kumi’.

Matamshi

kinukajio

/kinukaʄijO/