Ufafanuzi wa kinukamito katika Kiswahili

kinukamito, kirukamito

nomino

  • 1

    mtu anayehamahama au kuacha mke na kuoa mwingine mara kwa mara; mtu asiye makini katika ndoa.

Matamshi

kinukamito

/kinukamitO/