Ufafanuzi wa kinungu katika Kiswahili

kinungu

nominoPlural vinungu

  • 1

    sehemu ya kitu.

    ‘Mkigawa nyama yenu mimi nipeni kinungu cha mguu’
    kipande

Matamshi

kinungu

/kinungu/