Ufafanuzi wa kinyemela katika Kiswahili

kinyemela

kielezi

  • 1

    ufanyaji wa jambo kwa siri.

    ‘Tabia za kinyemela zinakiuka misingi ya umoja wetu’

Matamshi

kinyemela

/ki3ɛmɛla/