Ufafanuzi wa kinyemi katika Kiswahili

kinyemi

nomino

  • 1

    kitu chenye kufurahisha; kitu kinachopendeza.

Matamshi

kinyemi

/ki3ɛmi/