Ufafanuzi wa kinyonga katika Kiswahili

kinyonga

nominoPlural vinyonga

  • 1

    mnyama anayebadilika rangi ya mwili wake ili ifanane na rangi ya mazingira alimo.

    lumbwi

Matamshi

kinyonga

/ki3Onga/