Ufafanuzi wa kinyozi katika Kiswahili

kinyozi

nominoPlural vinyozi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kunyoa nywele.

  • 2

    mtu mwenye hila za kupunja katika biashara.

Matamshi

kinyozi

/ki3Ozi/