Ufafanuzi wa kiongezwa katika Kiswahili

kiongezwa

nominoPlural viongezwa

  • 1

    kitu kilichoongezwa kwenye kitu cha awali au cha msingi.

    ‘10 +5 = 15, katika mfano huu, tano ni kiongezwa’

Matamshi

kiongezwa

/kijOngɛzwa/